Viungo:
- Mahindi
- Maharagwe
- Kitunguu
- Nyanya
- Kitunguu Saumu
- Chumvi
- Mafuta ya maji
- Chemsha mahindi na maharagwe pamoja hadi iwe laini.
- Kakaanga kitunguu kwa mafuta ya maji kwa sufuria ingine.
- Ongeza nyanya na uwache hadi iive, kisha ongeza kitunguu saumu na uwache iive.
- Ongeza chumvi na kisha ongeza maharagwe na mahindi uliyochemsha.
- Wacha iive kidogo kisha epua kutoka kwa moto.
No comments:
Post a Comment