- Minofu ya kuku
- Vitunguu
- Pilipili
- Tangawizi mbichi
- Mafuta ya maji
- Curry Poda
- Chumvi
- Nyanya
- Kitunguu Saumu
- Maji ya nazi
Kuandaa
- Weka vitunguu, pilipili, tangawizi mbichi na kitunguu saumu kwa kinu na uponde hadi viungo viwe laini.
- Ongeza maji. Weka mafuta ya maji kwa sufuria kwa moto wa chini.
- Ongeza mchanganyiko wa viuongo ulivyoponda kwa kinu na changanya hadi ziive kwa mda wa dakika 5 hadi 8.
- Ongeza nyanya na upike kwa mda wa dakika 3 hadi 4. Kisha ongeza kuku, chumvi, pilipili na maji ya nazi.
- Punguza moto na uwache kuku iive kwa mda wa dakika 30.
- Ongeza maji.
- Ikishaiva epua
No comments:
Post a Comment