Viungo:
- Vitunguu
- Nyanya
- Kitungu Saumu
- Masala
- Mafuta ya maji
- Tomato ya mkebe
- Maji ya limau
Kuandaa:
- Weka mafuta ya maji kwa kikaangio, kisha ongeza vitunguu wacha iive hadi ikuwe rangi ya udhurungi.
- Ongeza nyanya, wacha iive. Kisha ongeza kitunguu saumu na uwache iive.
- Ongeza tomato ya mkebe na masala. Punguza moto na uwache iive kwa moto wa chini.
- Ongeza maji ya limau, wacha iive kwa moto wa chini.
- Epua kutoka kwa moto.
Nahisi njaa sasa. This is interesting and I must try
ReplyDelete